Ami B Msafir
Senior Member
- Feb 23, 2015
- 100
- 33
punguza virobaJamanii eee habari zenu kwanza
me najishangaa sana siku hizi kila kukucha naojiona tofauti kabisa kwanin
Niingiapo kibaruani kwangu mwili unaishiwa nguvu kabisa uchovu
Mwanzo mwisho
Sasa nimeshindwa kutambuwa hiii hali
Inatokana na nini msaaada kidgo
Au ndo mwili kuchoka tu na ni tangu November 1 nashindwa kuelewaa
Situmiagipunguza viroba
Mhhhhhh Hofu kiaje labdakacheki afya, na upunguze hofu ya maisha.
We utakua umechoka wewe pumzikapunguza viroba
waiwasi wa maisha, kipato na vitu vingine, chukulia maisha in positive way, ridhika na upatacho.Mhhhhhh Hofu kiaje labda
Dahhhh OK ngojaaa Leo nishusheee hofuuuwaiwasi wa maisha, kipato na vitu vingine, chukulia maisha in positive way, ridhika na upatacho.