integral sign
Senior Member
- Jul 13, 2013
- 160
- 13
Hivi application ya kujiunga Chuo ni Tar. NGAPI? Kwenye tangazo lao TCU NA NACTE la tar.8.4.2013 linaonesha ni tar. 31.07.2014 na kwenye guidebook ambayo ni ya mwaka 2014/2015 ni tar. 31/08/2014 kwa waliomaliza diploma mwaka huu 2014. Je tar. Ipi ni sahihi??