Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hbr wana Jf,
je,mtu mwenye ordinary diploma ya education,anauwezo wa kusomea kitu chochote??na kwa level ipi?punde amalizapo kozi hiyo ya ualimu..
nawasilisha wakuu!
Diploma ya Education usomee chochote mh! mfano Una Diploma ya Education una masomo ya kufundishia history na Kiswahili then ukitoka hapo unaenda kusoma Bs. in Telecommunication Engineering
Pamoja na Mchanga wa Ngorongoro ku move wenyewe hivyo kuwania kua katika Maajabu 8 ya dunia Elimu bado haijafika kwenye hayo maajabu.
Kimsingi ukisoma Diploma ukimaliza na ukafaulu unaenda kusoma Degree ya kile ambacho kinafanana au kinakaribiana na kile ulichokisoma wakati wa Diploma hausomei chochote tuu! Mkwe wangu!