Pole sana ndugu, imenishtua sana, huo sio ugonjwa mdogo acha kupuuzia kwa kumeza panadol, nenda hospitali kubwa kwani kansa inaweza kupitia kwa njia hyo, nenda hosptali kubwa ujue undani wa tatizo, please epuka madawa ya kienyeji kwa sasa lkte ktk matibabu ya vipimo vikubwa zaidi, pia kama unamwamwini Yesu kristo jaribu kesho kushriki ibada ya Tb Joshua kwenye tv yako hakika ukishriki ktk roho na kweli utapona na kubaki kushuhudia uweza wa Mungu! Pole ndugu!
Pole sana!nend zahanati wakusafishe kila siku na uendelee na antibiotics utapona.
by the way ulifanya nini ukapata kidonda hiki?
Da nimeogopa sana, nenda hospital ASAP, tena cancer institute Kule ocean road.ikiwezekana Leo .