Tarehe 25 dec 2014 kidole kilanza kuwasha na kujikuna.kuanzia siku iliyofuata kilianza kuwasha na kuuma sana mpaka leo rarehe 2 jan kilipooasuka nikiwa nimelala.
Nini dawa sahihi? !hospittali wamenipa antibiotic na panadol, naombeni msaada wa tiba bora jamani
NAAMBATANISHA PICHA PIA
Nini dawa sahihi? !hospittali wamenipa antibiotic na panadol, naombeni msaada wa tiba bora jamani
NAAMBATANISHA PICHA PIA