Msaada wataalam napata wapi hii spare? Inanitesa

Fuel Injection Pump For Mitsubishi
Pajero 4M40-Te Me202411/104701-
Nenda ofisi za Beforward wana huduma ya kuagiza Spare. Uzuri wa kuagiza Spare utapata Spare Genuine na haitazidi Wiki 2 au hata ndani ya Wiki utakuwa ushaipata Spare yako. Tatizo kubwa la wabongo gari ikiharibika hatuna subira, na tuna uwezo wa kuagiza magari lakini tunaogopa kuagiza Spare🤣🤣
 
Nenda ofisi za Beforward wana huduma ya kuagiza Spare. Uzuri wa kuagiza Spare utapata Spare Genuine na haitazidi Wiki 2 au hata ndani ya Wiki utakuwa ushaipata Spare yako. Tatizo kubwa la wabongo gari ikiharibika hatuna subira, na tuna uwezo wa kuagiza magari lakini tunaogopa kuagiza Spare[emoji1787][emoji1787]

Nashukuru mkuu
 
Tukisemaga gari ni Toyota tu nchini Tzed huwa mnatuonaga mafala sana. Haya komaa utafute hio kitu, mie Tandale tu nakamata chochote nachotaka. Sina haja hata ya kufika Ilala.
Hadi spare ya buku ipo......namshauri aingie Kkoo mtaa wa Livingstone,kule mwishoni karibu na fire kuna maduka kadhaa,ila aangalie Kuna duka linaitwa Alpha.......akikosa hapo aangalie maduka yote eneo lile......then mambo yakiwa magumu apite ile njia ya msimbazi maduka ya mkono wa kushoto kama unaenda njia ya Big bon aende mpaka kuna duka la Kisangani hawezi kusa pale,hata asipopata watampa mwongozo mzuri wa wapi pa kupata.........ukikosa kkoo nenda pale Kisutu kuna duka linaitwa Sunny pale pale njiani karibu na kituo Cha Mwendokasi..........ukikosa aendelee kuangalia mitaa hiyo hiyo japo kule bei imechangamka sana
 
Hadi amalize hayo maduka boxer inanuka mishkaki
 
Nenda ofisi za Beforward wana huduma ya kuagiza Spare. Uzuri wa kuagiza Spare utapata Spare Genuine na haitazidi Wiki 2 au hata ndani ya Wiki utakuwa ushaipata Spare yako. Tatizo kubwa la wabongo gari ikiharibika hatuna subira, na tuna uwezo wa kuagiza magari lakini tunaogopa kuagiza Spare🤣🤣
Ishu sio kwenda Befoward, ishu ni mchakato wa kuiagiza hiyo spea kutoka japan mpaka ikufikie mkononi malipo utakayo lipa utatamani kuiacha, kasome uzi wa samatime magari jamaa wa dodoma mwenye mazda atenza uzi upo humu utafute.
 
Mkuu naandika kitu ninachofanya kila siku. Na pia sio lazima kwenda Beforward pia kuna dealers kibao saivi wanaofanya hiyo huduma ya kuagiza spare. Do your home work, usisome vitu humu na kukariri kama kasuku, mambo siyo magumu kama ulivyokariri.
 
Ishu sio kwenda Befoward, ishu ni mchakato wa kuiagiza hiyo spea kutoka japan mpaka ikufikie mkononi malipo utakayo lipa utatamani kuiacha, kasome uzi wa samatime magari jamaa wa dodoma mwenye mazda atenza uzi upo humu utafute.
Alafu kingine unachotakiwa kukielewa ni kwamba huyo Samatime ni mfanyabiashara, akiweka mambo yote hadharani hawezi pata wateja. Hivi unajua kwamba wewe una uwezo wa kuagiza gari mwenyewe bila kutumia mtu? na gari ikifika kuna sehemu ndogo sana ndio utatumia agent ambaye hutamlipa zaidi ya laki 5 kutegemea na aina na ukubwa wa gari lako(CBM).
Tukija kwenye suala la kuagiza spare parts hakuna ugumu wowote zaidi ya kufahamu machimbo ya uhakika kama ni ya hapapa bongo au mtandaoni na kuhakikisha unaijua "part number" ya hiyo spare unayoihitaji.
Kiufupi bongo watu wanaliwa sana hela zao sababu ya kutopenda kujifunza. Saivi dunia imebadilika sana info zipo at your finger tips ni wewe tu na bundle lako.
 
Wewe ulisha wahi agiza spea online kutoka befoward na kuileta hapa bongo? acha mba mba mbaa sisi tuna experience
 
Zaidi ya Mara tatu tena kwenye ile office yao ya karibu na Ocean Road. Inawezekana Mkuu.
 
Back
Top Bottom