Zingatia ushauri wa comment #2.Naomba kusaidiwa
Nimejenga water tower yenye height ya mita 3.5 nimeweka tank la lita 5000 inlet line size yake ni robo tatu na outlet line size yake ni inchi moja na nusu, water tap ni 4 za (2 za nusu inchi na 2 za robo tatu) lakini changamoto ni kiasi cha maji yanayotoka kwenye water tap hizo ni kidogo sana hata kama nikifungulia tap moja tu yanachuruzika, fundi amehangaika ameshindwa.
Shida inaweza kuwa wapi
So nafanyaje kusahihisha kosa kama tank connector ya kutoa ni 1 na nusu, imetembea urefu wa mita 4, ikawekwa reducing socket ya 1 na nusu to 1 inch then 3/4, kisha ikatembea umbali wa mita 12 hivi ikawekwa tap mbili za 3/4 na 2 za 1/2Zingatia ushauri wa comment #2.
Yaani kifupi yaingize kwa bomba kubwa, yatoke kwa bomba dogo ili kutengeneza msukumo mkubwa wa kutoka.
Mf: yaingie kwa bomba la 3/4 yatoke kwa bomba la 1/2.
Kama utaona ni shida ama ni hasara kuezua hayo mabomba ya awali, hakikisha kabla ya kufikia tape unaweka redusing toka bomba ulilotandika awali kuja 1/2 ili kuyabana yapate kasi ya kutoka.
Maji yako yanatembea umbali mrefu sana, na ukiangalia hata height ya mnara wako ni ndogo achilia mbali masuala ya bomba zilizotumika.So nafanyaje kusahihisha kosa kama tank connector ya kutoa ni 1 na nusu, imetembea urefu wa mita 4, ikawekwa reducing socket ya 1 na nusu to 1 inch then 3/4, kisha ikatembea umbali wa mita 12 hivi ikawekwa tap mbili za 3/4 na 2 za 1/2