Msaada wataalamu; tatizo la ngozi

Msaada wataalamu; tatizo la ngozi

Mwana Mwema

Senior Member
Joined
Nov 15, 2012
Posts
143
Reaction score
133
Hope you open this with a gud health!
Jamani wataalamu, mi naomba mumsaidie huyu mdada nipo nae chuo ana tatizo miguu ya ina alama nyeusi (makovu/madoa) ambayo aliyapata wakati wa utotono na hayajafutika mpaka sasa ni mkubwa huwa anapata tabu sana anavaa skirt lakini huwa anakosa sana confidense mana anajiskia kama ana kasoro, huwa napata imani sana nikimuona akikosa kujiamini. Jamani, wataalamu katika jamvi hili naomba kwa mwenye kujua dawa yoyote iwe cream au ya kumeza nimfahamishe huyu dada yale makovu miguuni yapotee. Hopping to get the right treatment. Thanks guys ang God bless u all.
 
Back
Top Bottom