Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
Habari za kazi wataalamu wa Afya.
Nina tatizo la sauti yangu kutoka kwa kukwaruza.
Nimetumia dawa lkn sauti yangu halisi imekataa kurudi, naelekea kumaliza mwaka Sasa.
Naomba msaada kwa anaejua mahala sahihi ambapo naweza kupata matibabu.ama kama mtu anaweza kunifanyia matibabu nitashukuru.
Hali hii inanitisha sana.
Natanguliza shukurani.