Zombi Mweusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 841
- 1,755
Kwanza unataka utumie kwenye vifaa gani maana umesema heavy dutyHabari zenu wakuu naombeni msaada wa kujua betri za kampuni gani za solar ambazo ni heavy duty, betri nayotaka
Iwe kuanzia N100 sola ninazo watu 600W
Nahitaji kujua bei yake pia
Betry za kampun zote ni heavy duty ila lazima ziende na mzigo unaotakiwa kuenda kama una panel ya watts 600W tumia battery za pro solar watts 150×3Habari zenu wakuu naombeni msaada wa kujua betri za kampuni gani za solar ambazo ni heavy duty, betri nayotaka
Iwe kuanzia N100 sola ninazo watu 600W
Nahitaji kujua bei yake pia
Battery hazipimwi kwa watts sijui umetumia kigezo gani kupata watts 150× 3Betry za kampun zote ni heavy duty ila lazima ziende na mzigo unaotakiwa kuenda kama una panel ya watts 600W tumia battery za pro solar watts 150×3
Mkuu sina utalaamu sana ila unataka kuniambia battery za sundar hizi nazo ni heavy duty,naomba kujua kwanza types za battery za solar kama zipoBetry za kampun zote ni heavy duty ila lazima ziende na mzigo unaotakiwa kuenda kama una panel ya watts 600W tumia battery za pro solar watts 150×3
habari mkuu, vipi ulifanikiwa kupata hiyo betri?Mkuu sina utalaamu sana ila unataka kuniambia battery za sundar hizi nazo ni heavy duty,naomba kujua kwanza types za battery za solar kama zipo
Nimepata mkuu natumia betri za vitron energy 22N/22ah ni betri fulani ndogo ndogo zipo 16 zinafanya kazi poahabari mkuu, vipi ulifanikiwa kupata hiyo betri?
Umetoa maelezo mazuri sana. Naomba msaada wako mimi nimefunga panel ya 160w na bettery 95ah lakini nikipachika tv na radio pale kwenye socket tv inaniambia low voltage halafu inazima. Nikiunga direct pale kwenye battery naangalia vizuri tu. Shida nini?Kwa kawaida battery inapimwa kwa Ah unakuta 100Ah (Ampere Hour) Kwa lugha nyepesi unaweza tumia taa ya 10 Watts ikachukua masaa 100-120 kwa battery kuisha charge. Battery za Solar zinapimwa kwa Ah na sio N. mara nyingi za N zinatumika kwa magari na vifaa vya moto.
Battery umesema unahitaji heavy duty ila nadhani ni kwamba unahitaji zenye kukaa na charge muda mrefu. Nikushauri hivi kwanza jua matumizi yako ya umeme ni watts ngapi kwa siku baada ya hapo ni rahisi kujua unahitaji system ya ukubwa gani kwa sababu si battery tu utahitaji kubwa Solar,Charger controller vyote vinafaa kuwa calculated kulingana na matumizi yako. Unaweza kufanya kienyeji ila Battery zitakufa baada ya muda mfupi sana.
Pannel zinavyokua kubwa tambua ndo zinavyotumia muda mfupi kujaza battery zako. Ukiwa na pannel kubwa jua la 1hr linatosha kujaza battery zako umeme wa kutosha kutumia 24hrs. Ila unapokua na Panel ambazo ni ndogo kuliko battery zako ni kwamba inatumia muda mrefu sana kwa Battery zako kujaa na hii itakuathiri sana kipindi jua si zuri au hakuna jua kabisa (Usiku) utajikuta ikifika sa mbili usiku umeme umeisha kwa kuwa mchana battery hazikujaa moto.
Majibu ya swali lako ni haya 60A solar charger controller, 12V 600AH battery au hizo N100 zako ziwe 6 ziungwe in Series. Ukitumia Battery chini ya nilivyokushauri hazitodum zaidi ya miaka 2 zitakufa.
KUMBUKA: Hata battery iwe nzuri kiasi gani utaiua kwa kuizidishia mzigo/load isiouweza.
Nimeandika haraka haraka ila nadhani utaelewa tu.
Kila la kheri