Msaada wataalamu wa diagnosis kwenye magari

Msaada wataalamu wa diagnosis kwenye magari

mabwiku

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
447
Reaction score
390
Asanteni sana wadau mlionipa ushauri kwa post yangu ya nyuma iliyopita kuhusu kuomba msaada wa gari hii LEGE ulinishauri nashukuru sana,,

katika kujaribu kila hatua niliamua kupeleka kupima kwa diagnoss computer lkn nadhani fundi aliepima sio mzoefu sana maana kuna code ilitoa lkn alishindwa kutoa maelekezo nikumuelewa,zaidi nilimuona kama mbabaishaji tu.
baada yakuchomeka mashine yake ilileta code kama mbili hivi japo zilijirudia rudia,
code ya kwanza ilisema P-1603 na code ya pili ni P-1605 lakini kuna neno ilileta ENGINE STALL,

Kwa wataalam naomba mnitambulie hii code inamaanisha nini,gari ni toyota RACTIS ya mwaka 2005,tatizo lake ni kua nikiendesha km chache inajizima ikiwa kwenye mwendo,lkn nikikaa kama dk2 nikiwasha inawaka naendelea na safari,nimejaribu kuangalia kama inachemsha haichemshi,lkn ikifika usiku natembea bila shida na haiwezi kuzima
 
Je fault hizo ni current au history??.
 
apoo ungeenda kwa mtaalamu wakutumia mashine haichukui dakk chache inawezekana control ya kwenye fen iliguswa ....hili tatizo lilinitokea mm pia gar ilkuwa inazma na kuwasha mpaka ipoe kabsaa ndo unaendelea....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom