albab
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 1,198
- 2,562
Nikiwa naeleke kufanya maandalizi kwa ajili ya hii kazi wajuzi naomba msaada wenu....
Fundi wa kwanza: Ameshauri itumike white cement then binder alafu rangi na kanipa makadirio yake
Fundi wa pili: Yeye kashauri itumike pva then binder alafu rangi.....
Fundi wa tatu: Kashauri itumie wall purity ndani the nje itumie white cement..
Fundi wa pili kanishawishi sanaa na nkamuelewa JE pva ikoje na ubora wake ukoje kwa kulinganisha na options zilizopo???