ahsante sana kwa ushauriiiiMimi sio fundi Ila wakati najenga fundi wangu alinielewesha kidogo.
Iko hivi:-
Tukianza na generation za hizo sckimming material ilianza
Gypsum Powder
White Cement
Wall putty
Mafundi wengi hawako sana familia na wall putty hivyo kama ujuavyo mtu hupendelea kile akijuacho.
Faida kubwa ya wall putty ina antifungal ndani yake kudhibiti fungus za ukutani lakini pia unaweka hiyo BINDER kuifanya rangi yako isibanduke hasa maeneo yenye unyevu.
Hivyo basi ushauri ambao alinipa nitumie white cement ndani sababu kutakuwa na unyevu kidogo au usiwepo kabisa na kwa sababu white cement inacover square mita nyingi kulinganisha na wall putty.
Nje alinishauri nitumie wall putty ili kuhimili unyevu wa nje na fungus za ukutani. Kwa hiyo kwa generation wall putty ni toleo za kisasa zaidi tukiamini zitakuwa zimecover changamoto za matoleo ya nyuma.
Uamuzi ni wako kulingana na eneo lako na hali ya mfuko wako. Hongera kwa hatua ya finishing nikikumbuka ilivyonipelekesha sina hamu nayo.
vip kama ukitoa muongozo mkuu huoni ni vyema zaidi
Hii sawa ila hapo kwenye kufanya skimming alafu rangi nyeupe kisha rangi ya silki, vipi ukigusa ukuta au kuegemea ukuta hutoki na rangi kidogo yaani ukigusa hakuna asilimia ndogo ya rangi inabaki kwenye mwili? Mie kama wewe ila baada ya skimming tukaweka binder (prima) kisha rangi ya silki (binder / prima ukiweka baada ya skimming inaifanya gypsum powder kushikana na hata ukigusa hutoki na powder nyeupe na inapunguza matumizi makubwa ya rangi ila kwenye gypsum board baada ya skimming ikapigwa rangi nyeupe)Sometimes watu wana complicate vitu bure tu na kukuongezea gharama. Kwa uzoefu wangu ndani nimetumia gypsum powder for skimming halafu rangi nyeupe mwisho rangi iliotakiwa (silk). Nje nimetumia white cement for skimming then rangi nyeupe halafu rangi iliotakiwa(weather guard) na nyumba ya kawaida na zile hidden roof kuta zinapigwa na mvua hasa na rangi inakaa hadi naamua kubadili muonekano.
Hapana hamna rangi kubanduka.Hii sawa ila hapo kwenye kufanya skimming alafu rangi nyeupe kisha rangi ya silki, vipi ukigusa ukuta au kuegemea ukuta hutoki na rangi kidogo yaani ukigusa hakuna asilimia ndogo ya rangi inabaki kwenye mwili? Mie kama wewe ila baada ya skimming tukaweka binder (prima) kisha rangi ya silki (binder / prima ukiweka baada ya skimming inaifanya gypsum powder kushikana na hata ukigusa hutoki na powder nyeupe na inapunguza matumizi makubwa ya rangi ila kwenye gypsum board baada ya skimming ikapigwa rangi nyeupe)
Wewe ndio umetoa maelezo ya kitalaam. Mafundi wengi hawazijui PGO zaoMimi sio fundi Ila wakati najenga fundi wangu alinielewesha kidogo.
Iko hivi:-
Tukianza na generation za hizo sckimming material ilianza
Gypsum Powder
White Cement
Wall putty
Mafundi wengi hawako sana familia na wall putty hivyo kama ujuavyo mtu hupendelea kile akijuacho.
Faida kubwa ya wall putty ina antifungal ndani yake kudhibiti fungus za ukutani lakini pia unaweka hiyo BINDER kuifanya rangi yako isibanduke hasa maeneo yenye unyevu.
Hivyo basi ushauri ambao alinipa nitumie white cement ndani sababu kutakuwa na unyevu kidogo au usiwepo kabisa na kwa sababu white cement inacover square mita nyingi kulinganisha na wall putty.
Nje alinishauri nitumie wall putty ili kuhimili unyevu wa nje na fungus za ukutani. Kwa hiyo kwa generation wall putty ni toleo za kisasa zaidi tukiamini zitakuwa zimecover changamoto za matoleo ya nyuma.
Uamuzi ni wako kulingana na eneo lako na hali ya mfuko wako. Hongera kwa hatua ya finishing nikikumbuka ilivyonipelekesha sina hamu nayo.
🤣🤣🤣Kwamba fundi wa pili kakushawishi ukamwelewa, wakati huo hata PVA hujui ni kitu gani.!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu, nisaidie gharama ya ufundi ya Kuskim chumba Cha futi 12 kwa 12 juu na ukutani, kwa uzoefu wako.Tumia pva maana unachanganya na cement kwaiyo mafangasi utayasikia maana
Huwa inakua elfu 40 hio ni skimming tu chumba ila kama ni hadi rangi mara nyingi inakua elfu 80 au 70Mkuu, nisaidie gharama ya ufundi ya Kuskim chumba Cha futi 12 kwa 12 juu na ukutani, kwa uzoefu wako.
unajua ili nifanye kazi na wewe inahitaji kujiridhisha kunambia tu ni nfanye kazi na nyie haitoshi kunishawishi jibu kilichoulizwa hapa toa ufafanuzi wa kitaalamu kushawishi mtu mkuuKwanza Uvimo Civil Group tunakupongeza kwa hatua kubwa.
Kuna mambo ya kuzingatia ili kupata hitaji la nyumba zetu.
1-Ubora/mwonekano
Hii yaweza fanikishwa au felishwa na bosi au gundi
2-Gharama zisizo za lazima
Ujuzi haba wa funfi au Enginia msimamizi au maamzi ya bosi.
3-Uhai wa nyumba zetu.
Hii swala la kitaalam, lina mhusu fundi
Kwa kuzingatia utangulizi hapo juu,
Basi, yeyote asiye zingatia mambo hayo lazima ujikute kwenye madhara moja wapo tajwa Hapo juu
Fanya kazi na
Uvimo Civil Group
Upate unacho stahili.
WhatsApp - 0753927572