VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 674
Jamani katika vitu vinavyonikela sana ni jinsi ya kutoa nywele za makwapani yaani ni shiidaaa kuna kitu kingine nje ya mkasi ama wembe kuondoa nywele za makwapani? kutumia wembe ni hatari maaana ukitumia ni lazima ujikatekate hali kadhalika na mkasi je kuna kitu chochote mbadala wa mkasi na wembe karibuni wadau