Msaada watanashati; Nina kero moja tu ya nywele za kwapani

Mkuu nakushauri zisuse izo nywele hakika zitajikuta zinaacha kuota kunako kwapa
 
Kuna rafiki yangu hajawahi ota hayo manywele mpaka sasa ana watoto,,, yani hana kitu chini na makwapani...natamani hana kashkash za kushave
aiseee....picha tafdhali maana ni maajabu ya Dunia
 
madawa si mazuri
mimi namshaul atumie mashine za kawaida
kwa mfano mm namshauri atumie hizi
Gillete 2

au BIC SENSITIVE
gharama nafuu ubora wa juu

si kwa kwapani ama Sirini
then amalizie na AFTER SHAVE yaan safi burudani kabisa hajuna kujikatakata wala vipere
 
Mkuu tumia machine,haya ma veer,powder ni unawashwa balaa
 
Tena hapo Bic ndio nzuri hizi gillete naona kama wanachakachua siku hizi.
 
Kuna poda flani hivi cjui inaitwaje na hata cjui inapopatikana.
 
Bic ni bomba n makali yake yanakaa muda mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…