ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 948
- 641
Unamaanisha ni watoto wa Baba mkubwa na Mdogo?Kama kichwa cha habari kilivyojileleza,Ni watoto wa ndugu,baba zao wamezaliwa baba na mama mmoja,walikuwa wanafanya yao yakatokea hayo yaliyotokea,
Tunaambiwa ndugu wakioana kuna uwezekano mkubwa wakazaa mtoto ambaye ni taahira,ili kuepukana na hilo je Kuna dawa za kitaalam za kuweza kuzuia hilo lisitokee au wawe wanamuomba Mungu tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mambo ya mila mkuukwenye makaburi tena? kwani Mungu hayupo
iman potofu kuzaliwa taahira mmhKama kichwa cha habari kilivyojileleza,Ni watoto wa ndugu,baba zao wamezaliwa baba na mama mmoja,walikuwa wanafanya yao yakatokea hayo yaliyotokea,
Tunaambiwa ndugu wakioana kuna uwezekano mkubwa wakazaa mtoto ambaye ni taahira,ili kuepukana na hilo je Kuna dawa za kitaalam za kuweza kuzuia hilo lisitokee au wawe wanamuomba Mungu tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Means haina shida yoyoteHiyo kisayansi tunaiita inbred lines, hao shida yoyote wambieni walee mimba tu mtoto azaliwe
Sent using Jamii Forums mobile app