ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 948
- 641
Ni watoto wa ndugu,baba zao wamezaliwa baba na mama mmoja,walikuwa wanafanya yao yakatokea hayo yaliyotokea.
Tunaambiwa ndugu wakioana kuna uwezekano mkubwa wakazaa mtoto ambaye ni taahira,ili kuepukana na hilo je kuna dawa za kitaalam za kuweza kuzuia hilo lisitokee au wawe wanamuomba Mungu tu?