MSAADA: Wauzaji wa engine za magari

MSAADA: Wauzaji wa engine za magari

brave_3

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2014
Posts
1,186
Reaction score
705
Habari zenu

Naomba kama kuna mtu ana uza engine au anajuana na wauza engine za magari anisaidie...

Mimi natafuta engine ya Toyota harrier

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M
Habari zenu

Naomba kama kuna mtu ana uza engine au anajuana na wauza engine za magari anisaidie...

Mimi natafuta engine ya Toyota harrier

Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo yako hayajitoshelezi mzee..hiyo gari ina aina kama 4 hivi za engine kama sio 5.

Kuna 5S FE,1MZ FE,2AZ FE,3MZ FXE n.k sasa ww hapo gari yako ina aina gani ya engine
 
Back
Top Bottom