Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama upo mikoa yenye watu wengiKama kichwa cha habari hapo juu naomba msaada.
Nawazo la biashara nina mtaji wa 50,000.
Kuzungusha hela ndio biashara. Unaiingiza pesa sehemu bila kujali kiasi inarudi na faida au hasara.Biashara ya 50,000 hamna mdogo wangu sema nataka kuzungusha hela Nina elfu 50 nifanye Nini?.
Kwa ushauri, nunua viatu vya mtumba tembeza mtaani.
Nifanyie mchakato maana kuagiza napo issueUza vitua au mikoba ya mtumba unaweza kutembeza pia ukauzia online ,ukatengeneza enga Kisha unaenda kuuza stendi utatumia enga kuweka bidhaa zako mida ya jioni
Unawe kuingia online store mf kikuu,Alibaba ukatazama bidhaa ambazo unaweza kuwagiza Kisha ukauza mtandaoni Instagram , Facebook kwa pesa yako Kuna bidhaa unaweza kupata 10 na ukiziuza kwa elfu 10 kila moja utapata laki View attachment 2142443View attachment 2142442
Hii inaitwajeMfano iyo bidhaa na nyinginezo nyingiView attachment 2142449
unaweza kushare masoko/location vinapopatikana viungo hivyo kama hautojali?Kanunue viungo vya chai kwa kilo vifunge vizuri anza kuzungusha kwenye maduka