Msaada wazo la biashara, nina mtaji wa milioni 20

Msaada wazo la biashara, nina mtaji wa milioni 20

Kwa mtaji huo you need a project planning ndugu, ufanye projection ya unachotaka kufanya, ufanye analysis ufanye kitu kisicho na hasara...
 
Nenda soko la Hisa la Dar es salaam,kanunue hisa za kampuni yoyote inayofanya vizuri sokoni usubiri gawio lako.Ni ushauri tu kulingana na nature ya kazi yako.Biashara inataka mud wa kuisimamia,utaajiri vijana wa kitanzania wenyewe wavivu mwisho utalamba za uso.
mkuu watajiwekea malengo yao kwanza
 
Mimi kwangu dill na uaindikaji wa unga. Nunua mashine mbili ya kukoboa na kusaga 2.8mil. Motor hp40 mbili 3mil starter mbilli laki 8. Umeme 2mil. Tafuta frem mbili lipa miezi sita kwanza letsay 2mil. Tengeza nembo sajili,kampun. Mpaka hapo usizid milion kumi. Inayobaki nunua mahindi anza kusaga na kupack. Soko lipo kubwa sana dar. Unga jumla unauzwa 23000. Mahind jumla 550 ya kibaigwa ya songea usijaribu yanatoa unga kidogo. Kwani tone kumi wastan wa faida ni kuanzia laki sita mpk milion bila pumba. Pumba faida ni wastan wa laki mbili. Kwa siku ukiwa na mahindi na machine nzur unaweza koboa na kusaga wastan wa tan ishirin mpk thelathin. Kwa mwez ukifanya kazi vizur hoping hutakosa milion tano faida na kuendelea.
daah mkuu..point sana hyo.biashara ipo kwenye mipango yangu mungu ataniongoza tu..heshima kwako mkuu na mahind yanapatikana kwa wing sana huku mbeya
 
mkuu, ishu ya kununua hisa sikushauri, kibongo bongo hazieleweki, hazina tija,
mimi labda naona wazo zuri ni kufungua biashara ambayo hitahitaji control kubwa na usimamizi mkubwa
biashara hii naona fanya ku supply vitu kama vinywaji vya jumla (maji, soda, bia) hii ku chek stock na hesabu ni simple ukimuacha kijana mchapa kazi, wapo vijana wengi mtaani desperate kupata kazi, chagua mtu mchapakazi!
ili mambo yawe simple ongea na watu wenye baa, maduka na grocery uwe unawaletea
ku entice wanunue vizuri waambie ukiwa mteja mzuri wa mara kwa mara na mwenye biashara yenye afya utakuwa una supply kwa credit, nunua au kodisha hata ki gari au pikipiki ya matairi matatu kwa ajili ya kufanya supply

hao wanaosema uwafuate WhatsApp, au kwenye blog au inbox nashindwa kuwaelewa, kwamba wameshindwa ku type hapa jf, ili wakosolewe au mawazo yao yapongezwe na kupewa nyongeza?
jf ni kwa faida ya wote
hao watakua matapeli hao alafu siwa amini sana watu dizain hii sijuh ni pm..mara nichek whatsap
 
Wadau....nawashukuru sana kwa maoni yenu. Napenda kuleta mrejesho kwamba....nimeamua kununua survey plot tunduma sq meter 2000 plus...nakudesign apartment za kuishi mabachela za gharama nafuu. Natarajia katika kipindi cha miaka 3 nitakuwa nimekamilisha aparment kama 10 hv. Kila kimoja kikiwa ni chuma, sebule,choo,jiko na parking. Mategemeo ni kupangisha kwa bei around 100k to 130k kutegemea na hali ya mahitaji.

Nawashukuru sana! Nahitimisha.
 
Mimi kwangu dill na uaindikaji wa unga. Nunua mashine mbili ya kukoboa na kusaga 2.8mil. Motor hp40 mbili 3mil starter mbilli laki 8. Umeme 2mil. Tafuta frem mbili lipa miezi sita kwanza letsay 2mil. Tengeza nembo sajili,kampun. Mpaka hapo usizid milion kumi. Inayobaki nunua mahindi anza kusaga na kupack. Soko lipo kubwa sana dar. Unga jumla unauzwa 23000. Mahind jumla 550 ya kibaigwa ya songea usijaribu yanatoa unga kidogo. Kwani tone kumi wastan wa faida ni kuanzia laki sita mpk milion bila pumba. Pumba faida ni wastan wa laki mbili. Kwa siku ukiwa na mahindi na machine nzur unaweza koboa na kusaga wastan wa tan ishirin mpk thelathin. Kwa mwez ukifanya kazi vizur hoping hutakosa milion tano faida na kuendelea.
Mkuu hili wazo tunaweza kulifanyia kazi kwa pamoja
 
Back
Top Bottom