Msaada wazo la biashara, nina mtaji wa milioni 20

Kwa mtaji huo you need a project planning ndugu, ufanye projection ya unachotaka kufanya, ufanye analysis ufanye kitu kisicho na hasara...
 
mkuu watajiwekea malengo yao kwanza
 
daah mkuu..point sana hyo.biashara ipo kwenye mipango yangu mungu ataniongoza tu..heshima kwako mkuu na mahind yanapatikana kwa wing sana huku mbeya
 
hao watakua matapeli hao alafu siwa amini sana watu dizain hii sijuh ni pm..mara nichek whatsap
 
Wadau....nawashukuru sana kwa maoni yenu. Napenda kuleta mrejesho kwamba....nimeamua kununua survey plot tunduma sq meter 2000 plus...nakudesign apartment za kuishi mabachela za gharama nafuu. Natarajia katika kipindi cha miaka 3 nitakuwa nimekamilisha aparment kama 10 hv. Kila kimoja kikiwa ni chuma, sebule,choo,jiko na parking. Mategemeo ni kupangisha kwa bei around 100k to 130k kutegemea na hali ya mahitaji.

Nawashukuru sana! Nahitimisha.
 
Mkuu hili wazo tunaweza kulifanyia kazi kwa pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…