Msaada: Wazo la Biashara

Msaada: Wazo la Biashara

Your business plan must focus the environment where you want to establish your business activities. Kwahiyo mipango iendane na mazingira uliopo. Asante

nimechoka kusikia huu ushauri, kwani mtu hawezi kuhama? Kama una wazo zuri la biashara mpe ataenda kuifanyia sehemu ambayo ni ideal
 
Tigopesa na m-pesa pia inategemea na eneo unalotegemea kufungua. Kama ni kariakoo baada ya miezi 6 wewe ni tajiri kaka maana huwezi kukosa laki 5 hadi 7 kwa mwezi, tena vile vibanda visiwe vingi sana ukibahatika uko pekeako itakua poa sana, ngoja nimualike Nkobe anaweza kutoa wazo zuri zaidi

Laki 5 kwa mwezi x 6= 3M,,3M ni utajiri ee? Ila wazo zuri mkuu.
 
inatosha kwa kuanzia lkn ni bora ukawa na shughuri ingine kwa ajili ya mambo ya kifamilia lkn ni tuambie yafuatayo, unaishi wapi ? ni mjini au kijijini? kwa sasa unafanya shughuri gani? hiyo 2m umeipataje? unaweza jibu hapa au pm

duh,maswali mengi kweli..weka some assumptions alafu mshauri. kwani mtu hawezi kuhama? Kama una wazo zuri la biashara mpe ataenda kuifanyia sehemu ambayo ni ideal
 
Ndizi toka mbeya?.
Mkungu 5000/2000000=mikungu 400.
Kuuza 10,000@mkungu=4000,000.
Transport 800,000.
Other cost 200,000.
Profit approx 1000,000 per each trip.
You do one trip per two week,there you got an income of 2000,000/= per month.

mkuu nimeipenda hii!.. samahan , umetoa gharama ya usafiri pamoja na mauzo! kwani hilo soko ni la wapi mkuu?..maana sizani kama bei ya kila mkungu na usafir ni hiyo ,kila sehem nje ya mbeya !
Ahsante
 
Ndizi toka mbeya?.
Mkungu 5000/2000000=mikungu 400.
Kuuza 10,000@mkungu=4000,000.
Transport 800,000.
Other cost 200,000.
Profit approx 1000,000 per each trip.
You do one trip per two week,there you got an income of 2000,000/= per month.



Thanx ndugu
 
Back
Top Bottom