msaada webu wenu wakuu nipo njia panda*(heslb)

Mechanics

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
295
Reaction score
26
jaman hali ni mbaya wakuu nisaidieni hiili mimi nilimaliza form six mwaka jana niliomba mkopo nikapata kidogo mno yaani hela ya kula na field tu! sasa nilikuwa nataka kuaapeal mwaka huu kwa sa babu mwaka jana nilichelewa,sasa wakuu hii inawezekana ??nisaidien maana maji yapo shingon kwa sababu uchumi home umeshuka >asanten>>i studed PCM
 
uta apeal baada ya matokeo ya tcu kutoka na ku alocate pesa za wanafunzi then huwa kuna siku 90 za
kukata rufaa kama kiasi cha fedha hujatosheka nacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…