jaman hali ni mbaya wakuu nisaidieni hiili mimi nilimaliza form six mwaka jana niliomba mkopo nikapata kidogo mno yaani hela ya kula na field tu! sasa nilikuwa nataka kuaapeal mwaka huu kwa sa babu mwaka jana nilichelewa,sasa wakuu hii inawezekana ??nisaidien maana maji yapo shingon kwa sababu uchumi home umeshuka >asanten>>i studed PCM