Msaada wenu Dr's humu: Sikio limeziba

mludego

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
2,597
Reaction score
3,565
Usiku wa kuamkia Leo hii nimepata tatizo la kuziba kwa sikio moja la upande wa kushoto baada ya kuamka na kutaka kupenga kamasi lakini cha ajabu sikio likaziba na kutoa maumivu makali sana mpaka sasa tatizo bado ninalo.

Naomba msaada wenu nifanye nini kukabiliana na tatizo hili wakuu.
 
Pole sana mkuu ila madokta wapo tuwasubirie wakati huo nakushauri upate hata pain killer au ile dawa ya sikio ya maji. Nadhani haizidi elfu mbili. Ugua pole mkuu
 
Hizo zitakuwa wax mzee. Tafuta dawa inaitwa boric acid.. Unaweka drops mbili mpaka Tatu.kila baada ya masaa nane. Halafu ukiweka unalala na ule upande ulioweka ukiwa juu.

Lala angalau masaa mawili ili dawa ifanye kaz vizuri.
 
vipi ukitumia cotton buds waitoki na uchafu?
 
Mkuu mludego Nenda Ekenywa dispensary kuna mtaalamu wa ENT tatizo lako litaisha. . Magomeni mtaa ule wa sheikh Yahaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…