mludego
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 2,597
- 3,565
Usiku wa kuamkia Leo hii nimepata tatizo la kuziba kwa sikio moja la upande wa kushoto baada ya kuamka na kutaka kupenga kamasi lakini cha ajabu sikio likaziba na kutoa maumivu makali sana mpaka sasa tatizo bado ninalo.
Naomba msaada wenu nifanye nini kukabiliana na tatizo hili wakuu.
Naomba msaada wenu nifanye nini kukabiliana na tatizo hili wakuu.