mchakachuaji192
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 366
- 68
Mkuu wewe unapenda aina gani ya gari? na kuhusu kununua nje utapata gari bei rahisi lakini una uhakika gani na uimara wake lazima uwe namtu muaminifu udili nae mfano mimi nilinunua GX100 dubai kwa dola 2000 na kusafirisha $1200 inakuwa $3.2 nikalipa ushuru m2.7 na pt chaji lk1.5 hebu piga hesabu uone mzikiwake lakini bongo unaweza pata kwa m7