mchakachuaji192
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 366
- 68
Wana JF, naomba wale wenye kujua kuhusu suala wanisaidie kupata ufumbuzi wake, siku zijazo natarajia kununua gari lakini nimekuwa ninajiuliza kati ya kununua gari hapa bongo (showroom) na kuagiza japan wapi kuna ubora zaidi, swali likiwa ni kwamba je hizi show rooms za hapa kwetu bongo ni za kuziamini sana au ni bora tu kuagiza nje na kama show room zinaaminika naomba mnitajie zile ambazo zinaaminika,
nawasilisha ndugu zangu
nawasilisha ndugu zangu