Msaada wenu jamani

J 20A

Senior Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
105
Reaction score
15
Nimekuwa nikisumbuliwa na mapele ya ndevu kwa muda mrefu sana kila ninaponyoa huwa natokwa sana na vipele kwa yeyote anaejua tiba msaada wenu jamani
 
Dumb patrol kiboko yao...inauzwa 8000/=......mimi mwenyewe natatizo kama lako na nimefanikiwa kuvimaliza ndani ya siku saba tu
 
Kuna dawa zingine zimekuwa zikisababisha athari ya ngozi Baada ya kuzitumia kwa muda mrefu.<br />
<br />
unaweza ukaonekana mzee wa miaka 90,kumbe ni kijana wa miaka 25. Mimi huwa natumia yai la kanga likiwa na mchanganyiko wa asali mbichi nyekundu. Yaani ngozi inakuwa safi na yenye kuvutia. Jaribu hiyo mkuu kwani haina kemikali.
 
<br />
<br />
Poa kaka nashukuru kwa ushauri wako nitajaribu
 
tumia after shave na baada ya kunyoa ndevu tumia gillatte shaving foam kwa ajili ya kunyolea na baada ya hapo upake after shave yake na usi use kiwembe nunua machine special ya gillate inauzwa shoppers supermarket
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…