Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Kuna dawa zingine zimekuwa zikisababisha athari ya ngozi Baada ya kuzitumia kwa muda mrefu.

unaweza ukaonekana mzee wa miaka 90,kumbe ni kijana wa miaka 25. Mimi huwa natumia yai la kanga likiwa na mchanganyiko wa asali mbichi nyekundu. Yaani ngozi inakuwa safi na yenye kuvutia. Jaribu hiyo mkuu kwani haina kemikali.