Msaada wenu jamani

Msaada wenu jamani

wakusepa

Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
83
Reaction score
5
nimehitimu form 4. Nina
alama hizi kiswahili
B,geography B,english
C,history C,civics B,physics
D,chemistry D,biology
C,mathematics D.
Jaman nahtaj kwenda moja
kwa moja nikasome
diploma aidha chuo cha
afya au chochote kile ila
isiwe diploma ya ualimu.na
hicho kiwe cha gharama
nafuu namaanisha kiwe cha
serikali, ushaur wenu kwa
alama hzo je ntapata chuo?
NB.ualim siwez,jaman na
wala gharama za vyuo vya
private sina uwezo kbsa
 
thanx ntajarib bugando,bot gharam inakuwaje hapo
 
nimehitimu form 4. Nina
alama hizi kiswahili
B,geography B,english
C,history C,civics B,physics
D,chemistry D,biology
C,mathematics D.
Jaman nahtaj kwenda moja
kwa moja nikasome
diploma aidha chuo cha
afya au chochote kile ila
isiwe diploma ya ualimu.na
hicho kiwe cha gharama
nafuu namaanisha kiwe cha
serikali, ushaur wenu kwa
alama hzo je ntapata chuo?
NB.ualim siwez,jaman na
wala gharama za vyuo vya
private sina uwezo kbsa

Kwa nini usiendelee tu na A level?
 
Nina wasiwasi cheti si chako maana kwa alama hizi A level ilikuwa inanikuhusu ile mbaya.
 
Sidhani kama ni sahihi wewe kwenda chuo una alama nzuri so kwa nini usiende A level au umefoj?
 
mi namuunga mkono Wakusepa, hivi ni kwanin usiendelee na A level? Nadhani utakuwa bado unaendeshwa na ndoto pamoja na mitazamo ya watu ni sawa lakni maamuz yoyote hufanya kwa kuangalia malengo au ndoto na uwezo uliopo..wew unauwezo mkubwa sana katika fan zingine nje na hiyo unayoitaka kumbuka kadri unavyosonga mbele katika jambo lolote ndio unavyozid kufunguka akili kuona opportunities nyingi zaidi...nakushaur nenda A level utapa manufaa mazuri sana zaidi ya unavyotarajia.
 
cheti ni changu molembe ckupenda kwenda advance,shughul z kilimo zilinbada,na sasa nahtaj kwenda diploma blv me.
 
kwanza naomba niweke sawa kwamba kwa uelewa wangu level yako ya elimu ya kidato cha nne hauna vigezo vya kusoma diploma ya ualimu hata ungekuwa na A zote, ili ukasome diploma ya ualim kwa sasa lazima uwe na cheti cha form 6.

kwa alama zako unaweza ukaenda diploma ila iwe ya miaka 3 na sio miaka 2 utaratibu wa sasa wa vyuo vyote vilivyosajiliwa na NACTE ni kwamba kama una cheti cha kidato cha 4 bila kujali umefaulu kwa kiwango cha juu kwa namna gani hauwezi ukasoma diploma kwa miaka 2.

umuhimu wa kusoma dip ni kwamba kwanza unakuwa na uhakika wa kufika chuo kikuu sababu hakuna zile presha za kishule shule kwamba pepa ya form six na matokeo vinaweza kuja tofauti na matarajio yako, pili ni kwamba ukisoma diploma afu ukifika chuo kikuu vitu vingi unakuwa unavirudia tofauti na yule aliyetoka shule moja kwa moja hii itasaidia kutengeneza GPA nzuri kama utakuwa makini ukiwa chuo kikuu hivyi kuwa na nafasi nzuri kwenye soko la ajira

hasara zake ni kwamba kwanza lazima uwe na pesa ya kutosha sababu vyuo vingi vya ngazi ya diploma ni vya kujisomesha mwenyewe tofauti na ghalama ya miaka 2 ya advance so ukutaka kwenda diploma inabidi ujipange kwa hiyo miaka mitatu labda kwa vyuo vya afya na kilimo maana huku bado serikali inasomesha watu.

ishu nyengine unaposoma diploma afu baadae uje upige digrii ishu inakuwa ngumu kwenye hizo pesa zao za bodi ya mkopo labda kama utakuwa umesoma kozi za masuala ya afya na kilimo nimeshuhudia jamaa zanguvwaliosomesha MIST kule mbeya wakipigwa asilimia 20 za bodi
 
cheti ni changu molembe ckupenda kwenda advance,shughul z kilimo zilinbada,na sasa nahtaj kwenda diploma blv me.
Dogo unazingua....wewe si umeanzisha thread nyingine ubadai ulienda A level HGL na ukapa div 3 ya 15....
 
nimehitimu form 4. Nina
alama hizi kiswahili
B,geography B,english
C,history C,civics B,physics
D,chemistry D,biology
C,mathematics D.
Jaman nahtaj kwenda moja
kwa moja nikasome
diploma aidha chuo cha
afya au chochote kile ila
isiwe diploma ya ualimu.na
hicho kiwe cha gharama
nafuu namaanisha kiwe cha
serikali, ushaur wenu kwa
alama hzo je ntapata chuo?
NB.ualim siwez,jaman na
wala gharama za vyuo vya
private sina uwezo kbsa
Dogo unazingua....wewe si umeanzisha thread nyingine ubadai ulienda A level HGL na ukapa div 3 ya 15....
kijana hayo ni ya kweli?? na kama ni kweli kwa nini unatania watu????
 
Back
Top Bottom