nimehitimu form 4. Nina
alama hizi kiswahili
B,geography B,english
C,history C,civics B,physics
D,chemistry D,biology
C,mathematics D.
Jaman nahtaj kwenda moja
kwa moja nikasome
diploma aidha chuo cha
afya au chochote kile ila
isiwe diploma ya ualimu.na
hicho kiwe cha gharama
nafuu namaanisha kiwe cha
serikali, ushaur wenu kwa
alama hzo je ntapata chuo?
NB.ualim siwez,jaman na
wala gharama za vyuo vya
private sina uwezo kbsa
Dogo unazingua....wewe si umeanzisha thread nyingine ubadai ulienda A level HGL na ukapa div 3 ya 15....cheti ni changu molembe ckupenda kwenda advance,shughul z kilimo zilinbada,na sasa nahtaj kwenda diploma blv me.
toba!!!!Dogo unazingua....wewe si umeanzisha thread nyingine ubadai ulienda A level HGL na ukapa div 3 ya 15....
nimehitimu form 4. Nina
alama hizi kiswahili
B,geography B,english
C,history C,civics B,physics
D,chemistry D,biology
C,mathematics D.
Jaman nahtaj kwenda moja
kwa moja nikasome
diploma aidha chuo cha
afya au chochote kile ila
isiwe diploma ya ualimu.na
hicho kiwe cha gharama
nafuu namaanisha kiwe cha
serikali, ushaur wenu kwa
alama hzo je ntapata chuo?
NB.ualim siwez,jaman na
wala gharama za vyuo vya
private sina uwezo kbsa
kijana hayo ni ya kweli?? na kama ni kweli kwa nini unatania watu????Dogo unazingua....wewe si umeanzisha thread nyingine ubadai ulienda A level HGL na ukapa div 3 ya 15....