Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
Katika miaka ya nyuma tulimsikia msanii wetu TID akiopoa wimbo bomba wa nyota yako ikasemekana umeibwa toka mozambique nadhani ulileta mshikemshike sana,leo nimejaribu ku youtube naona haka kawimbo hapa kakanivutia sana zaidi ya ulewa TID,je remix ya TID lets say that haijaifunika original ya hawa jamaa,mandugu mnaonaje hapo? kawimbo kenyewe haka hapa...http://www.youtube.com/watch?v=3QUUAQ_1qdg