Msaada wenu jamani...

Msaada wenu jamani...

Magulumangu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
3,051
Reaction score
461
Katika miaka ya nyuma tulimsikia msanii wetu TID akiopoa wimbo bomba wa nyota yako ikasemekana umeibwa toka mozambique nadhani ulileta mshikemshike sana,leo nimejaribu ku youtube naona haka kawimbo hapa kakanivutia sana zaidi ya ulewa TID,je remix ya TID lets say that haijaifunika original ya hawa jamaa,mandugu mnaonaje hapo? kawimbo kenyewe haka hapa...http://www.youtube.com/watch?v=3QUUAQ_1qdg
 
kama sijaelewa......umeomba msaada wetu....tukusaidie kufanyaje?
 
Back
Top Bottom