Huo uchafu una harufu yoyote?unawasha?
Kama ni vitu vyeupe tu ambavyo havina harufu lakini vinawasha ni FUNGUS...Wajawazito wana risk kubwa ya kupata fungus kutokana na muongezeko wa hormones kipindi hiko.
Unatakiwa utumie Clomatrizol cream 1% na clomatrizol vagitorie 500mg.Siku ya kwanza weka hicho kidonge kwenye uke kwa kutumia kidole chako wakati wa usiku.Paka cream 1/2 cm stripe,mara 2-3 kwa siku.Hautakiwi kutumia dawa hii kama upo kwenye first trimester(Miezi 3 ya mwanzo ya ujauzito).
Epuka kuvaa chupi mbichi ambazo hazijakauka vizuri au ambazo zinakubana
Jaribu kuepuka kutumia sabuni kwenye eneo hilo au kunawa sana.
Kama huwa unaenda clinic kwa nini usizungumze na dr wako? Otherwise kama hauna harufu ya samaki wabichi inaweza kuwa kawaida. Epuka kujiosha na sabuni zenye harufu kali.