Msaada wenu juu ya hili

Msaada wenu juu ya hili

dendu

Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
23
Reaction score
0
Je? kutokwa na uchafu mweupe na mzito ukeni mithili ya maziwa mgando kwa mwanamke mjamzito ni jambo la kawaida au ni tatizo?

Ushauri wenu please.
 
Wandugu wenye utaalamu, toeni ushauri hapa jamani
 
Huo uchafu una harufu yoyote?unawasha?
Kama ni vitu vyeupe tu ambavyo havina harufu lakini vinawasha ni FUNGUS...Wajawazito wana risk kubwa ya kupata fungus kutokana na muongezeko wa hormones kipindi hiko.
  • Unatakiwa utumie Clomatrizol cream 1% na clomatrizol vagitorie 500mg.Siku ya kwanza weka hicho kidonge kwenye uke kwa kutumia kidole chako wakati wa usiku.Paka cream 1/2 cm stripe,mara 2-3 kwa siku.Hautakiwi kutumia dawa hii kama upo kwenye first trimester(Miezi 3 ya mwanzo ya ujauzito).
  • Epuka kuvaa chupi mbichi ambazo hazijakauka vizuri au ambazo zinakubana
  • Jaribu kuepuka kutumia sabuni kwenye eneo hilo au kunawa sana.
 
Kama huwa unaenda clinic kwa nini usizungumze na dr wako? Otherwise kama hauna harufu ya samaki wabichi inaweza kuwa kawaida. Epuka kujiosha na sabuni zenye harufu kali.
 
mimi49 huyo ni mama mjazito sidhani kuanza kutumia tumia dawa bila ushauri wa daktari wake ni sahihi aendee tu hosptal asije akapata miscarriage
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom