D dj medy Member Joined Aug 11, 2014 Posts 48 Reaction score 9 Dec 11, 2014 #1 Habari wana JF. Nina mdogo wangu kafanya interview ya kujiunga na VETA iringa na kwa sasa niko nae mbeya naomba msaada kwa wanaojua jinsi ya kuyapata matokeo kwenye internet au kwa njia nyingine nitashukuru kwa ushikiano wenu
Habari wana JF. Nina mdogo wangu kafanya interview ya kujiunga na VETA iringa na kwa sasa niko nae mbeya naomba msaada kwa wanaojua jinsi ya kuyapata matokeo kwenye internet au kwa njia nyingine nitashukuru kwa ushikiano wenu
M martin.d.k Member Joined Jul 5, 2014 Posts 26 Reaction score 2 Dec 20, 2014 #2 Mimi pia ninayatafuta ila cjafabikiwa japo wanasema huwa yanabandikwa kwenye kituo alichochagua.