Msaada wenu kuhusu VETA

Msaada wenu kuhusu VETA

dj medy

Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
48
Reaction score
9
Habari wana JF.

Nina mdogo wangu kafanya interview ya kujiunga na VETA iringa na kwa sasa niko nae mbeya naomba msaada kwa wanaojua jinsi ya kuyapata matokeo kwenye internet au kwa njia nyingine nitashukuru kwa ushikiano wenu
 
Mimi pia ninayatafuta ila cjafabikiwa japo wanasema huwa yanabandikwa kwenye kituo alichochagua.
 
Back
Top Bottom