Msaada wenu madocta

Msaada wenu madocta

Oldaganje

Member
Joined
Apr 9, 2014
Posts
33
Reaction score
9
Mke wangu ananyonyesha mtoto wa umri wa mwaka 1na mwezi 1.

Tatizo siku zake zinabadilikabadilika mfano mwezi uliopita alikwenda siku zake tarehe 22 na sasa leo tena ameanza kublidi nashindwa kupanga uzazi kwa kalenda

(a)Je ndio ilekusema mama anayenyonyesha hashiki mimba

(b)na kama ananyonyesha zaidi ya mara 10 kwa siku na mtoto anakula vyakula vingine inaweza kusaidia asishike mimba

(c)sitaki ashike mimba nisaidieni njia sahihi ya kutumia kuepuka mimba
 
we nani kakuambia hashiki?. yeye alijifungua kwa njia gani? pengine uzazi unabadilisha mazungumzo wa hadhi...kula lakini usile mbichi
 
Nashukuru kwa maelekezo mazuri.Alijifungua kwa njia salama tu.Je huu uzazi unabadilisha mzunguko kwa kila baada ya mdagani?
 
Ukitaka asipate mimba nanihii akimaliza tu kutoa damu
 
  • Atapata mimba usipo kuwa makini.
  • Ni vyema mkafika kituo cha afya kilicho karibu ili kupata msaada na ushauri zaidi.
  • Hii njia ya kalenda haina mafanikio ya asilimia 100.
Mke wangu ananyonyesha mtoto wa umri wa mwaka 1na mwezi 1.

Tatizo siku zake zinabadilikabadilika mfano mwezi uliopita alikwenda siku zake tarehe 22 na sasa leo tena ameanza kublidi nashindwa kupanga uzazi kwa kalenda

(a)Je ndio ilekusema mama anayenyonyesha hashiki mimba

(b)na kama ananyonyesha zaidi ya mara 10 kwa siku na mtoto anakula vyakula vingine inaweza kusaidia asishike mimba

(c)sitaki ashike mimba nisaidieni njia sahihi ya kutumia kuepuka mimba
 
Mke wangu ananyonyesha mtoto wa umri wa mwaka 1na mwezi 1.

Tatizo siku zake zinabadilikabadilika mfano mwezi uliopita alikwenda siku zake tarehe 22 na sasa leo tena ameanza kublidi nashindwa kupanga uzazi kwa kalenda

(a)Je ndio ilekusema mama anayenyonyesha hashiki mimba

(b)na kama ananyonyesha zaidi ya mara 10 kwa siku na mtoto anakula vyakula vingine inaweza kusaidia asishike mimba

(c)sitaki ashike mimba nisaidieni njia sahihi ya kutumia kuepuka mimba

-kuna wakina mama wachache waliojaliwa wao wakinyonyesha mtoto huwa hawapati siku zao,hao tu ndiyo wanaweza kutumia njia ya unyonyeshaji kupanga watoto.
wale akina mama wanaopata siku zao hata kama wananyonyesha wasitumie unyonyeshaji kama njia ya kuzuia mimba/kupanga uzazi.
-hata kama ananyonyesha mara 100 kama anapata siku zake pamoja na kunyonyesha anaweza pata mimba isipokuwa kwa wale nilio elezea hapo juu.
-kama siku zake zina badiliki basi tumia kondom kaka.........
 
Nashukuru sana mwana jukwaa
 
Nashukuru sana mwana jukwaa

usisahau njia asilia walizotumia babu zetu...hutaki apate mimba tafuta nyumba,ndogo...akilalamika kwann unanyumba ndogo mwambie kama anataka akupe ndogo....dont tryat home.

ni hayo tuuu.
 
sawa sawa mdau ila sipendi mchepuko.Hebu fafanua kama nataka anipe ndogo nini hii? inaweza kua nzuri
 
Back
Top Bottom