Naomba kufahamu ni mitandao ipi ya kijamii ili nikupe maelekezo ya namna unaweza kureport matukio hayo ama ikiwezekana kuondoa kabisa picha zako kwenye mitandao hiyo.Kwa kifupi kuna dada nilishawahi kuwa na mahusiano nae kipindi cha nyuma kabla sijaoa, baadae nilioa tena kwa ndoa takatifu kanisani, katika siku za karibuni amekuwa akipost picha zangu ktk mitandao mbalimbali ya kijamii na kuandika maneno mbalimbali ya kidhalilishaji yanayoniletea shida sana kwenye ndoa yng, kwenye familia yng kiujumla kwa maana ndg zng wamekuwa wakisumbuliwa sana na hii hali, naombeni msaada wenu nifanyeje, sheria inasemaje.
Ana post instagram and Facebook, kwa kweli ananipa adha kubwa mno, alishaonywa mara moja akazifuta, kipindi hiki kaanza tena kwa kasi zaidiNaomba kufahamu ni mitandao ipi ya kijamii ili nikupe maelekezo ya namna unaweza kureport matukio hayo ama ikiwezekana kuondoa kabisa picha zako kwenye mitandao hiyo.
Kwa kweli anaisumbua sana ndoa yangu kwa sasa, ndg zangu nawa upande wa mke nao anawapa adha kubwa kwa kejeli na dhihaka anazozielekeza kwangu nakwa mke wng.Mkuu ripoti polisi haraka sana wachukue hatua.. ndoa hujengwa kwa gharama kubwa halafu mtu anakuja kukuchezeachezea
Nashukuru sana ndg yng kwa ushauri wako, nitakufanyia kazi.Peleka mahakamani huyo haraka sana bila kumuonea huruma,nchi hii hatujalelewa kusema maneno ya ovyo ovyo.sheria imfunze kidogo.ni kosa kuchukua picha ya mtu na kuiweka mitandaoni na kuandika maneno yasiyostahili.
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
DuuuhBadili muonekano wako
Sent from my GT-I9105P using JamiiForums mobile app
Instagram na facebook zinaoption ya kureport picha hizo. Jaribu kureport hizo picha kupitia option hizo zinazopatika pembeni ya post/picha hiyoAna post instagram and Facebook, kwa kweli ananipa adha kubwa mno, alishaonywa mara moja akazifuta, kipindi hiki kaanza tena kwa kasi zaidi
Nashukuru kwa ushauri wako.Instagram na facebook zinaoption ya kureport picha hizo. Jaribu kureport hizo picha kupitia option hizo zinazopatika pembeni ya post/picha hiyoView attachment 541246
Kwenye kureport ukiwa na ushahidi kuwa ni picha zako zitaondolewa haraka iwezekanavyo.
Endapo hatua hiyo haitaleta suluhisho, ni vyema kuwasiliana na polisi.