kibol
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 4,521
- 2,747
- Thread starter
- #41
Tatizo la Jf ni wakati mwingine unakuta mtu ana shida au tatizo then wengine wanaleta jokes, mkuu mm yamenifika na anachosahau huyo ndg hapo juu ni kuwa situation km hii inaweza kumkumba yeyote yule, hivyo km tukipeana elimu hapa, likitokea la kutokea hapa wako watakaoweza kujifunza.Unamshutumu mwenzio wakati avatar yako ina picha ya Rais, kwamba ndiye aliyeandika hayo maneno machafu. Hivi ukikamatwa utasema umeonewa au kuwa yeye ndiye amekuruhusu kutumia picha yake na hayo maneno?
Unatuponza tunaotumia jf kupashana habari na kuelimishana.