Msaada wenu, mtu anapost picha zangu kwenye mitandao bila ridhaa yangu

Tatizo la Jf ni wakati mwingine unakuta mtu ana shida au tatizo then wengine wanaleta jokes, mkuu mm yamenifika na anachosahau huyo ndg hapo juu ni kuwa situation km hii inaweza kumkumba yeyote yule, hivyo km tukipeana elimu hapa, likitokea la kutokea hapa wako watakaoweza kujifunza.
 
nenda pale zero brain posta kuna vijana mahandsome hii Ndo kazi yao.unawapa advance laki nne wanamtuma mmoja wao anadate naye Nani ya wiki anakuletea picha za uchi ikiwamo likiwa Tigo na uso wake. kisha fungua Akaunti hewa Mtumie. na zihifadhi mpe Sharti la Kutubu kwa mkeo na kuomba msamaha kwenye Akaunti yake original msamehe na katubu ndoa iko salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unampotosha ajichukulie sheria mkononi atafungwa. Aende akatoe taarifa polisi.
 
Mkeo kama ni mwelewa na anakutunza vema kama mumewe ataweza kutambua picha zakabla na baada ya nyie kuoana hivyo hawezi kukuletea shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…