Msaada wenu, nahitaji dawa ya kupunguza hamu ya sex!

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,292
Wakuu heshima yenu,

Mimi mwenzenu nimeoa ila mke wangu hana hamu ya tendo la ndoa na mimi hashiki ipo juu sana kiasi kwamba kila siku asubuhi na jioni nikipewa nafurahia tu.

Toka nimeoa sijawahi kufanya nje ya ndoa ila sasa naona kama nateseka na namtesa na yeye pia maana siku nataka inabidi nifanye pasipo ridhaa yake hata kama nimemuandaa kiasi gani linapokuja swala la sex akili yake inakuwa haipo kabisa.

Nisaidieni hiyo dawa maana kutoka nje ya ndoa najua madhara yake.
 

Mwambie aache kutoka nje ya ndoa ili awe anafanya na wewe tu. Hiyo ndio dawa hakuna kingine
 
Mwambie aache kutoka nje ya ndoa ili awe anafanya na wewe tu. Hiyo ndio dawa hakuna kingine

mkuu uwezekano wa yeye kutoka nje ni 99% kwani masaa yote tuko pamoja tunafanya kazi ofisi moja yaani sisi ni self employees.
tunaenda kazini pamoja na tunarudi pamoja.
 
Duh pole sana how come hana hamu na wewe? Mnagombana mara kwa mara au anachoka kazi nyingi?

Lucky woman maskin hajui kucheza na bahati

aisee ni sikumbuki mara ya mwisho kugombana naye na kama tuligombana ni shauri ya swala la sex
_nahisi kwa kuwa ana uhakika sina mwanamke mwingine ndio maana anachukua upenyo huo kuninyanyasa.
_si unajua mtaa mzima kama wewe ndio unamiliki duka peke yako utakuwa unaringa na kudharau wateja ngoja lije lingine lazima heshima mbele.ila mimi sitaki kufika huko
 
Mwenzio huko moshi amekata kigegedeo chake na kisu akakitafuna. Labda ujaribu hiyo
 

Safi sana mkuu kwa kuwa mwaminifu kwa mkeo maana hali inatisha sana kuna magonjwa kila corner na hali hiyo nilikuwa nayo hata mimi sana kila wakati nilikuwa natakasex .nilijaribu sana shughuli nyingine za kijamii hasa kujishughulisha na michezo kama kucheza mpira ,kukimbia (joking) au jishughulishe na kilimo kidogo hapo nyumbani kwako kama bustani dogo dogo ili mwili wako uwe unatumia ile energy unayopata kwenye vyakula na pia uwe unachoka na kupugua ham ya kusex .pia ucpende kuangalia sinema za X au zo zote zinazokufanya uwe na matamanio .pia puguza vyakula vya protein kama mayai,maziwa ,karanga mbichi na vyakula vyote vyenye protein kwa wingi .kula mboga mboga na matunda kwa wingi.
 
mkuu mada yangu ni mimi sitaki kuwa na hamu kama dawa unayo nisaidie.

So unataka kuhasiwa? Kila la heri hata ukiamua kuwa shoga kabisa poa tu maana vijana wa sasa mnatujia na vituko vya kila aina.unataka dawa ya kuondoa hamu ya kut8mba?..mwisho utaomba dawa ya kukupa hamu ya kut8mbwa!
 
So unataka kuhasiwa? Kila la heri hata ukiamua kuwa shoga kabisa poa tu maana vijana wa sasa mnatujia na vituko vya kila aina.unataka dawa ya kuondoa hamu ya kut8mba?..mwisho utaomba dawa ya kukupa hamu ya kut8mbwa!

umeharibu mkuu
hata hivyo nimepata ushauri toka kwa mdogo wangu . joss1973
 
Last edited by a moderator:
umeharibu mkuu
hata hivyo nimepata ushauri toka kwa mdogo wangu . joss1973

Hapa ni kujifunza kuishi na tatizo.....wanawake hawana hamu kama wanaume.
Ni wanawake wachache sana wanaokua na hamu kukaribia wanaume.....na wakishakua na majukumu ya kulea ni zaidi.
 
Last edited by a moderator:
mkuu. RR nitazingatia ushauri wako asante hii issue ni serious kweli na hata sasa hivi tulikuwa tunaongozana wote kwenda home ila mimi nimepitia bar kupasha nikifika home ni usingizi tu
 
Last edited by a moderator:
mkuu. RR nitazingatia ushauri wako asante hii issue ni serious kweli na hata sasa hivi tulikuwa tunaongozana wote kwenda home ila mimi nimepitia bar kupasha nikifika home ni usingizi tu

Akili ku mkichwa. ...
 
Last edited by a moderator:
Why did i get
married??
 
mkuu mpe asali na maziwa ya kondoo ukipenda changanya na samli atumie ndani ya wiki 2 halafu lete feedback
 
David mdogo wangu mianake ya kiafraka hata umpe nini sijui kama atahsi kitu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…