Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,292
Wakuu heshima yenu,
Mimi mwenzenu nimeoa ila mke wangu hana hamu ya tendo la ndoa na mimi hashiki ipo juu sana kiasi kwamba kila siku asubuhi na jioni nikipewa nafurahia tu.
Toka nimeoa sijawahi kufanya nje ya ndoa ila sasa naona kama nateseka na namtesa na yeye pia maana siku nataka inabidi nifanye pasipo ridhaa yake hata kama nimemuandaa kiasi gani linapokuja swala la sex akili yake inakuwa haipo kabisa.
Nisaidieni hiyo dawa maana kutoka nje ya ndoa najua madhara yake.