Msaada wenu naomba

Msaada wenu naomba

miminho

Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
46
Reaction score
7
Habari zenu wanajamii ;

Naomba kwa mtu anayejua hatua za kufungua kampuni itakayobase kwenye maswala ya ICT hatua zake zipo zipi ?

Asante.
 
Fafanua ICT unaweza fungua shule, kuwa Internet provider, kampuni ya kuuza vifaa vya ICT, kufungua Radio or TV Stations, kampuni ya kufanya services, kampuni ya kufanya installations, kampuni ya ku import na ku export vifaa vya ICT n.k. Ila kwanza tengeneza jina la kampuni na kulisajili, baada ya hapo nenda TRA kupata TIN No. na maelezo mengine yote utapewa huko.
 
Back
Top Bottom