G M S
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 502
- 53
Wiki tatu sasa ghafla tu joints za kiuno hasa upande wa kushoto zinanisumbua mashindwa hata pandisha ngazi vyema najivuta tu na pia nashindwa hata fanya. Movement za miguu vyema.
Nilienda hospital moja ya mission yaitwa IKONDA nikaambiwa huenda ni maumivu ya joints inayoitwa Tambazi,, nimekunywa dawa wiki moja sasa sihisi afadhali.
Msaada please,nipo Mbeya.
Nilienda hospital moja ya mission yaitwa IKONDA nikaambiwa huenda ni maumivu ya joints inayoitwa Tambazi,, nimekunywa dawa wiki moja sasa sihisi afadhali.
Msaada please,nipo Mbeya.