Msaada wenu: Nasumbuliwa na jointi za kiuno

Msaada wenu: Nasumbuliwa na jointi za kiuno

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Wiki tatu sasa ghafla tu joints za kiuno hasa upande wa kushoto zinanisumbua mashindwa hata pandisha ngazi vyema najivuta tu na pia nashindwa hata fanya. Movement za miguu vyema.

Nilienda hospital moja ya mission yaitwa IKONDA nikaambiwa huenda ni maumivu ya joints inayoitwa Tambazi,, nimekunywa dawa wiki moja sasa sihisi afadhali.

Msaada please,nipo Mbeya.
 
Wiki tatu sasa ghafla tu joints za kiuno hasa upande wa kushoto zinanisumbua mashindwa hata pandisha ngazi vyema majivuta tu na pia nashindwa hata fanya. Movement za miguu vyema ,,,,,,,nilienda hospital moja ya mission yaitwa IKONDA nikaambiwa huenda ni maumiv ya joints inayoitwa Tambazi,, nimekunywa dawa wiki moja sasa sihisi afadhali,,, msaada pls,,,,nipo mbeya
DAWA YA MARADHI YA KIUNO:

1.Uwatu kijiko kimoja kikubwa.
2.Zaatari vijiko vitatu vikubwa.
3.Ubani (Dhukr)mweupe chembe saba.
4.Maji chupa moja.
unachemsha pamoja kwenye maji.

Matumizi: kunywa Robo gilasi kutwa mara tatu kwa siku 7 utapona.@
G spanner
 
Back
Top Bottom