Wiki tatu sasa ghafla tu joints za kiuno hasa upande wa kushoto zinanisumbua mashindwa hata pandisha ngazi vyema majivuta tu na pia nashindwa hata fanya. Movement za miguu vyema ,,,,,,,nilienda hospital moja ya mission yaitwa IKONDA nikaambiwa huenda ni maumiv ya joints inayoitwa Tambazi,, nimekunywa dawa wiki moja sasa sihisi afadhali,,, msaada pls,,,,nipo mbeya