Msaada wenu, nasumbuliwa na Mafua


Nishawai kuwa na rafiki alisumbuliwa hivyohivyo na kila dawa aliyoambiwa anatumia lkn wapi siku moja kuna daktar alimuuliza nyumbani kwake kama kuna carpet akasema ndio akaambiwa akalitoe asafishe ndani na ikawa pona yake tokea hapo so chunguza nyumbsni unazungukwa na nini vitu kama carpet/mito/nguo zisizokauka nk
 
Oky, hyo n mafua, je kuuxu maumivu nfanye nn!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…