brave Mwafrika
JF-Expert Member
- May 2, 2019
- 247
- 135
- Thread starter
- #21
Msaada wako ndugukapime bro.. nina uhakika 100% ngoma hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaada wako ndugukapime bro.. nina uhakika 100% ngoma hiyo
Zaman nlkua nafanya xana mazoez nkaacha nkaanza kufanya kaz ngum ila nazo.pia nliacha nkakaa kam miez 2 tatzo hlo lkaanza doctor alnambia iyo inaweza kua chanzo, "swali kwann mafua na maumivu aya yamekua ya kudumu" mpaka Nshaenda kupima,malaria,urine,HIV lakn pote negative.
Oky, hyo n mafua, je kuuxu maumivu nfanye nn!??Nishawai kuwa na rafiki alisumbuliwa hivyohivyo na kila dawa aliyoambiwa anatumia lkn wapi siku moja kuna daktar alimuuliza nyumbani kwake kama kuna carpet akasema ndio akaambiwa akalitoe asafishe ndani na ikawa pona yake tokea hapo so chunguza nyumbsni unazungukwa na nini vitu kama carpet/mito/nguo zisizokauka nk